Maafisa wa afya wa Sudan Kusini wanasema kuwa kina mama wengi hasa wale wanaojifungua wakiwa katika hospitali za kibinafsi hushauriwa kuwapa watoto wao maziwa ya unga
Aliyekuwa mhandisi katika kampuni ya Google Antony Levandowski amehukumiwa kifungo cha miezi 18 kwa kuiba siri za kibiashara. Levandowski anatuhumiwa kwa kuiba siri za kibiashara na...