Chama cha  kutetea maslahi ya walimu (KNUT ) tawi la migori kimetamaushwa na mienendo ya baadhi ya wanafunzi wasichana ambao wanaishi na marafiki wao wa kiume wengine kushiriki ngono na kutumia dawa za kulevya katika kaunti hiyo.

Hivi maajuzi paliripotiwa kisa cha msichana mmoja wa shule ya msingi ambaye alitoka migori kuelekea nakuru kwa mzazi wake asifike huko na badala yake kuenda kwa mpenzi wake wa kiume

Baadaye alipatikana akiwa amefungiwa na mpenziwe kwenye nyumba baada ya wazazi wa msichana huyo kuingiwa na wasiwasi na kupiga ripoti kwa polisi.

 

+ posts

Multimedia journalist

By Henix

Multimedia journalist

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *