Ni afueni kwa wakaazi wa Saghasa eneo bunge la Wundanyi katika kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali ya kaunti hiyo kujenga hospitali katika eneo hilo.

Governor Granton Samboja impeached: The Standard

Gavana Granton Samboja (Picha Kwa Hisani ya The Standard)

Akizungumza katika hafla ya kuzindua rasmi utenda kazi katika hospitali hiyo Gavana wa kaunti hiyo Granton Samboja amewahakikishia wakaazi wa eneo hilo kuwa watapata matibabu ya kila aina katika hospitali hiyo kwani serikali ya kaunti imenunua madawa ya kutosha.

Hata hivyo Samboja amesema kuwa wakaazi wa eneo hilo watakuwa wakipokea vipimo vya kila aina katika hospitali hiyo kwani kuna maabara ya kufanya shughuli hiyo.

By By Mwadime Iryne

Multimedia journalist

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *