Polisi wameanza Mchakato wa  kuwasaka majangili wanne waliowauwa fisi watatu,simba wanne na swara katika mbuga ya wanyama ya olchoro olorua narok.

Afisa wa kulinda wanyama pori katika kaunti hiyo ya Narok amesema majangili hao waliweka mitego mingine 25 ambayo iliteguliwa na mafiasa wa polisi.

Msimazi wa KWS katika kaunti hiyo ya Narok richaed chekwani amesema mgogoro unaoshuhudiwa kati ya binadamu na wanyama pori unatokana na  binadamu kuweweka maakazi karibu na makaazi ya wanyama pori.

By Mwadime Iryne

Multimedia journalist

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *