Dkt. Margaret Saimo (Picha kwa hisani)
Dkt. Margaret Saimo Kahwa kutoka kitivo cha matibabu ya mifugo kwenye chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda amesema kuwa chanjo hiyo mpya itakayotolewa mara mbili kwa mwaka itawasaidia wakulima kupunguza gharama ya ufugaji kwa kuwasaidia kupigana na kupe ambao huwa hawaangamizwi na dawa za kupulizia mifugo.