Mataifa mbali mbali yakiwemo, Ufaransa, Ujerumani, Marekani na Israel yametangaza kuisadia Lebanon kufuatia mkasa wa hapo jana ambapo kiwanda kimoja kilicho ufuoni kililipuka na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 78 wakiwemo raia wa kigeni.

Beirut explosion: Experts can spot tell-tale signs of the causes ...Mabaki ya gari baada ya mkasa huko Beirut (Picha kwa hisani ya Skynews)

Ufaransa tayari imetuma msaada wake unaojumuisha maafisa wa kukabiliana na majanga kuisadia Lebanon huku vikosi vyake vya usalama vikiendelea na zoezi la kuondoa vifusi vya majengo yaliyoporomoka kufuatia mlipuko huo wakitafuta miili zaidi.

Australi na Malysia ni miongoni mwa mataifa ambayo yamewapoteza rai wake katika mkasa huo wa Lebanon huku mataifa hayo yakiahidi kuisaidia Lebanon kwa njia yoyote

+ posts

Multimedia journalist

By Henix

Multimedia journalist

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *